Habari wakuu.
Nauza laptop yangu Apple, Macbook Pro.
Laptop hii nilinunua toka USA kwenye store za Apple kabisa.
Display: 13 inch
Processor: Core i5
Memory (RAM): 16GB
Graphics: Intel 1.5GB
Storage: 1TB SSD
Tourchbar
Nauza kwa TSH. 2M (Milioni mbili za ki Tanzania)
Simu: 0620306221 (Haipo WhatsApp, kwa WhatsApp tumia 0742031321)
Nipo: Chanika, Dar Es Salaam.
Mauziano yatafanyika kwa mwanasheria au Afisa Mtendaji wa mtaa nilipo, kwa usalama zaidi.
View attachment 2618030View attachment 2618029View attachment 2618031View attachment 2618032View attachment 2618033