Nauza Laptop

Vituka

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
2,269
Reaction score
1,268
Mhitaji ani PM tafadhali. Ni Dell.
 
Dell what?? weka maelezo ya hiyo laptop mkuu...
 
kama vp weka na bei kabisa. kwenye ulimwengu huu hakuna siri tena.
Nakutakia kila la heri
 
Mhitaji ani PM tafadhali. Ni Dell.
wewe sio mfanya biashara weka kila kitu hadharani hakuna biashara za ku PM hapa kama hutaki jikatae!!!Yaani nikitaka specs ,price na kila kitu niku PM usipojibu jee,hujaweka hata ur #,hakuna biashara za hivyo!!!
 
Model yake
 
Model yake

Mi nafikiri angeweka full detail specification, rangi,(manake waweza kukutalaptop yangi yakijani) na bei, ambapo anaweza kusema bei ni kubagani hawa hakuna kupunguza ni fiksed.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…