nauza laptop

titho joel

Member
Joined
Oct 1, 2019
Posts
13
Reaction score
3
nauza laptop aina ya dell core i3 ram gb 4 na internal storage gb 300 nipo magomeni kagera nichek namba 0715796040 jaman kama unaitaji picha nichek WhatsApp nakutumia
 
Ingekuwa vizuri picha na maelezo ya kutosha ungeweka hapa mana ndo umeamini utapata mteja, ila kama wateja unaamini utawapata wasapu basi wasubiri huko huko wasapu!
 
Nilitamani kuwe picha il
Ingekuwa vizuri picha na maelezo ya kutosha ungeweka hapa mana ndo umeamini utapata mteja, ila kama wateja unaamini utawapata wasapu basi wasubiri huko huko wasapu!
hata mm nilitqmani kuweka picha ila nadhan shida ipo kwa simu yang hvy nimeshindwa kufanya aploding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…