Weka vizuri maandishi ya bei yako usije pewa pesa hiyo ukaanza kuwatukana watu kwa matusi ya dokta Shika. Matumizi mabovu ya maandishi yasikupelekee kupata hasara.