Nauza laptop Hp 8540w elitebook

biasharaTz

Senior Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
163
Reaction score
79
Habari wakuu
Nauza laptop yenye sifa hizi
Aina: Hp
Operating system: window 8.1 Pro 64-bit (6.3, Build 9600)
Processor: intel core i5 nvidia
System model: HP Elitebook 8540w
RAM:4096MB
DISPLAY name: Nvidia quadro fx 880
Total memory: 2949MB
Rangi: kijivu nyeusi
Betri inakaa na chaji kwa muda wa masaa 5
Imetumia Tanzania kwa wiki moja( Mashaa Allaah nzuri sana)
Inapatikana: Dar es Salaam
Bei: 550,000 maongezi yapo
Mawasiliano: 0659211222
Karibuni sana

Vile vile kwa mahitaji ya laptop waweza kutuma specifications zako na biashara ikafanyika kama makubaliano tutakuwa tumefikia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii laptop bado IPO?
Battery condition iko VP? Used for how long?
 
B
BORA WEWE UKO JF KWA UCHUMI TAFUTA MAC HDD 520 au zaidi unipe bei
 
Naweza kupata pc ya 200,000/=?
toa HDD na RAM utauza badae unipe hiyo PC kwa hiyo price


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…