Aisee hamna vitu vinavyo depreciate kwa kasi duniani kama electronics...Nilinunua laptop kama hyo a year ago kwa tsh 500,000 na saa hv zinauzwa 300,000. Dah inaniuma si kitoto. I have the same laptop but 60 GB hard disk nauza pia nakomaa atleast niuze 380,000. Ths tym nimeamua that kila baada ya mwaka/ 9 months nauza laptop niliyo nunua kupunguza loss Hahaha cz vitu vina change kila kukicha. Usiwe na haraka mkuu vuta subra utapata hela nzuri. #Mtazamo tu.