Ndugu Wananchi, nauza laptop yangu;
dell inspiron 4030.
HDD ni 300gb,
RAM ni 4gb,
processor ni 2.13 duo,
memory card slot
na cd/dvd player,
inakaa na chaji kwa saa 2.
windows 8 iko tayari kuinstall windows 10, activated office 2010.
black na ina webcam. bei ni 300,000 tsh. . kwa dar waweza kuiona, tuwasiliane kwa
0653 903 138.
ni mawasiliano na makubaliano. nakutumia kwa basi ila pawe sehemu inafikika kwa mabasi ya moja kwa moja kutoka dar es salaam. kama haupo kwenye eneo hilo mfano bariadi au karagwe, ni bora uwe na mtu unayemwamini maeneo ya shinyanga au bukoba ili apokee mzigo, vinginevyo tunaweza tumia shirika la posta ambalo litakufikishia mzigo wako. ninacho kijali ni kuridhika kwa mteja. KARIBU SANA...