hapana ndugu..lengo langu nlitaka nichange ninunue min maana kubwa kwa kaz zangu inanipa mzigo..ss nusu ukinipa cwez kaa na ela..na naitaj pc nyngn haraka
dell inspiron 1545 inauza
colour pink
RAM 3gb
hhd 180gb
inakaa na charge 2hrs
bei 430000 tu..
ipo katika hali nzuri kama uionavyo kwny picha
anaitaji anipm kwa tufanye biashara