Dowload app ya kupatana (kama unatumia smartphone). Itarahisisha mchakato! Vinginevyo ni busara kuweka specifications zake wazi ili wanunuzi tarajali wajielimishe zaidi kuhusu hiyo laptop!
Msengapavi;14760934]Dowload app ya "KUPATANA" (kama unatumia smartphone). Itarahisisha mchakato! Vinginevyo ni busara kuweka specifications zake wazi ili wanunuzi tarajali wajielimishe zaidi kuhusu hiyo laptop!