Nauza laki 9

Hujasema model inchi ngapi halafu Laki 9 used mm hyo hela c napata Samsung 32 inches Smart TV yenye. 2 Quad Core View attachment 390643
Kwani wewe hujui kanuni ya Wabongo wanapotaka kuuza kitu?wao cha kwanza wanapiga hesabu ya shida ya hela aliyonayo hiyo ndio inakuwa selling price ya bidhaa yake,hizo factors nyingine kama outdated,uchakavu na ubora hawaangalii.
 
Wewe ulinunua bei gani TV hiyo mkuu.
 
Duh kweli mpwa umekwama mpaka kuandika tangazo umeshindwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…