Wakuu nauza lain ya uwakala wa tigo pesa kwa bei ya tshs.350,000/=.Ukiwa wakala utaweza kusajili laini,kuuza vifurushi vya tigo pia kamisheni nzuri mwisho wa mwezi.Naiuza kwa sababu nahama kwenda mkoa mwingine.Nipo dar es salaam kwa anayehitaji nipigie 0719265606.
Bei inapungua