Nauza laini ya M-PESA

Mpendasifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2013
Posts
277
Reaction score
111
wakuu nina laini ya M-PESA naiuza kwa Tshs laki 4 tu,anayehitaji anipm
 
wakuu nina laini ya M-PESA naiuza kwa Tshs laki 4 tu,anayehitaji anipm

mkuu au umekosea??ni m pesa au tigo pesa?kwani kwa bei hiyo kwa m-pesa ni kubwa mno!!!sio kwamba nakuharibia biashara jaribu kupitia uzi nyingine utajua nina manisha nini.
 
Nauza line ya mpesa pia bei 250,000/- non- negotiable
Kama unataka PM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…