S sifueli Member Joined Apr 12, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Apr 14, 2017 #1 Habari wana JF natumaini wote ni wazima, Nauza kuku aina ya Broiler na wapo tayari kabisaa kwa sh 5500 jumla wapo 200. Nipo makongo juu karibu na CCM. 0788838821 Karibuni sana.
Habari wana JF natumaini wote ni wazima, Nauza kuku aina ya Broiler na wapo tayari kabisaa kwa sh 5500 jumla wapo 200. Nipo makongo juu karibu na CCM. 0788838821 Karibuni sana.
Nyagei JF-Expert Member Joined Jul 7, 2015 Posts 13,201 Reaction score 44,601 Apr 14, 2017 #2 Mkuu mbona unashusha bei hivyo wakati bei ya vyakula kila siku inapaa?
S sifueli Member Joined Apr 12, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Apr 14, 2017 Thread starter #3 Nyagei said: Mkuu mbona unashusha bei hivyo wakati bei ya vyakula kila siku inapaa? Click to expand... hii ni bei ya jumla mkuu nataka kusafisha banda niweke wengine.kama kuna mtu unamjua aje achukue.Kuku wangu ni wakubwa na bei pia nzuri.
Nyagei said: Mkuu mbona unashusha bei hivyo wakati bei ya vyakula kila siku inapaa? Click to expand... hii ni bei ya jumla mkuu nataka kusafisha banda niweke wengine.kama kuna mtu unamjua aje achukue.Kuku wangu ni wakubwa na bei pia nzuri.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,180 Reaction score 25,418 Apr 14, 2017 #5 kilimanjaro kuku 7000. uwe unatafuta oda kabla hawajatimiza muda wakutoka kukwepa kukata mtaji.
S sifueli Member Joined Apr 12, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Apr 14, 2017 Thread starter #6 chuma cha mjerumani said: kilimanjaro kuku 7000. uwe unatafuta oda kabla hawajatimiza muda wakutoka kukwepa kukata mtaji. Click to expand... sawa mkuu ila mie nipo DAR ,ntafanya hivyo next time.kama kuna dalali au mnunuzi wa jumla niconnect nae.
chuma cha mjerumani said: kilimanjaro kuku 7000. uwe unatafuta oda kabla hawajatimiza muda wakutoka kukwepa kukata mtaji. Click to expand... sawa mkuu ila mie nipo DAR ,ntafanya hivyo next time.kama kuna dalali au mnunuzi wa jumla niconnect nae.
chuma cha mjerumani JF-Expert Member Joined Dec 4, 2013 Posts 12,180 Reaction score 25,418 Apr 14, 2017 #7 sifueli said: sawa mkuu ila mie nipo DAR ,ntafanya hivyo next time.kama kuna dalali au mnunuzi wa jumla niconnect nae. Click to expand... me niko mbali. zunguka utafuta oda sio lazima utoe kuku wote kwa mpigo unaweza kutoa 60 leo kesho 80 mpka wanaisha. chukua sampo izungushe upanue soko kwa batch ijayo na ya sasa.
sifueli said: sawa mkuu ila mie nipo DAR ,ntafanya hivyo next time.kama kuna dalali au mnunuzi wa jumla niconnect nae. Click to expand... me niko mbali. zunguka utafuta oda sio lazima utoe kuku wote kwa mpigo unaweza kutoa 60 leo kesho 80 mpka wanaisha. chukua sampo izungushe upanue soko kwa batch ijayo na ya sasa.
S sifueli Member Joined Apr 12, 2017 Posts 6 Reaction score 0 Apr 14, 2017 Thread starter #8 chuma cha mjerumani said: me niko mbali. zunguka utafuta oda sio lazima utoe kuku wote kwa mpigo unaweza kutoa 60 leo kesho 80 mpka wanaisha. chukua sampo izungushe upanue soko kwa batch ijayo na ya sasa. Click to expand... asante mkuu
chuma cha mjerumani said: me niko mbali. zunguka utafuta oda sio lazima utoe kuku wote kwa mpigo unaweza kutoa 60 leo kesho 80 mpka wanaisha. chukua sampo izungushe upanue soko kwa batch ijayo na ya sasa. Click to expand... asante mkuu