alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 May 13, 2014 #1 Kiwanja kipo tegeta kwa babu ni 25 kwa 20 kina msingi wa nyumba na matofali 400 +kokoto ni mita 50 toka barabara ya mtaa ukihitaji tukutane PM
Kiwanja kipo tegeta kwa babu ni 25 kwa 20 kina msingi wa nyumba na matofali 400 +kokoto ni mita 50 toka barabara ya mtaa ukihitaji tukutane PM
Maboso JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 5,163 Reaction score 5,765 May 13, 2014 #2 Bei hujaweka mkuu
B boroo Member Joined Apr 17, 2014 Posts 27 Reaction score 2 May 13, 2014 #3 Salsa hicho kiwanja unakiuza bure,mbona bei hujaweka au ndo unataka tukupangie being sisi
alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 May 14, 2014 Thread starter #4 Bei ni million 17 ila inapungua
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 May 14, 2014 #5 alma gemela said: Bei ni million 17 ila inapungua Click to expand... Why unauza?
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 222 May 14, 2014 #6 alma gemela said: kiwanja kipo tegeta kwa babu ni 25 kwa 20 kina msingi wa nyumba na matofali 400 +kokoto ni mita 50 toka barabara ya mtaa ukihitaji tukutane pm Click to expand... tegeta kubwa mkuu, hiyo tegeta gani, na kama unaenda mwenge kiko upande wa kushoto au kulia, kiko umbali gani kutoka barabara ya bagamoyo rd?
alma gemela said: kiwanja kipo tegeta kwa babu ni 25 kwa 20 kina msingi wa nyumba na matofali 400 +kokoto ni mita 50 toka barabara ya mtaa ukihitaji tukutane pm Click to expand... tegeta kubwa mkuu, hiyo tegeta gani, na kama unaenda mwenge kiko upande wa kushoto au kulia, kiko umbali gani kutoka barabara ya bagamoyo rd?