acheni ujuaji, hii ni biashara huria huna hela piga kimywa wenye nazo wanunue. Tatizo la wachangiaji wengi hawana hela kazi kuchonga
Big up mama!acheni ujuaji, hii ni biashara huria huna hela piga kimywa wenye nazo wanunue. Tatizo la wachangiaji wengi hawana hela kazi kuchonga
7.5M kwa 18* 14? You must be kidding, lol.
acheni ujuaji, hii ni biashara huria huna hela piga kimywa wenye nazo wanunue. Tatizo la wachangiaji wengi hawana hela kazi kuchonga
Mponjoli si ndio maana akatoa namba za simu ili muwasiliane kama kunalolote mnaloweza wekana sawa lakini sio kuumbuana kama hivi banaaaaaa!!!Jamani hizi bei mnazitoa wapi? 20*20 eneo hilo hilo kuna viwanja vizuri kabisa vya 2.5m. Wewe kiwanja kidogo hicho unauza bei mara tatu yake.
Labda kama kina vitu vya ziada lakini vinginevyo................
tangazo kaweka trace vuvuzela upige wewe, kaoge ulaleeeeeee@lat m2 asilete tangazo lake kuogopa vuvuzela mkosaji kama wewe. Huna hoja wambwela na post za wa2 kama huna cha kupost nakushauri pata muda wa kupumzika labda akili itafikiri sahihi,@mazingira hujalazimishwa kununua hicho kiwanja we sepa kwenye hicho kinachokufaa uclete ujuaji hapa huna lolote kwanza hata bei za ardhi huzijui umezoea udalali