chardonnay
Member
- Aug 13, 2018
- 34
- 2
bei gani unakiuza mkuu
Bei gani?
Bei gani?
Bei gani?
Bei gani?
Sikiuzi Mimi,nilimjibu tuu huyo alieuliza umbali wa Kiwanja kutoka Morogoro road wakati Kiwanja kipo Vikindu Mkurangabei gani unakiuza mkuu
Mawazo yangu yote yalikua kiluvya. Ok nimekusomaSikiuzi Mimi,nilimjibu tuu huyo alieuliza umbali wa Kiwanja kutoka Morogoro road wakati Kiwanja kipo Vikindu Mkuranga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikiuzi Mimi,nilimjibu tuu huyo alieuliza umbali wa Kiwanja kutoka Morogoro road wakati Kiwanja kipo Vikindu Mkuranga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmm!!50*80 mita!!!haiwezi kuwa sawa labda kama ni futi!!!huo si karibia uwanja wa mpira mkuu???Message…
kiwanja kinaukubwa wa 50×80m kinafaa kwa makazi ya watu na huduma za maji na umeme zinapatikana barabara nzuri ya kupitika hadi kwenye eneo
piga simu kwa maelezo zaidi
0679113190
sorry nilikosea ni futiMmmmmmm!!50*80 mita!!!haiwezi kuwa sawa labda kama ni futi!!!huo si karibia uwanja wa mpira mkuu???
Mkuu unapajuwa vikindu kweli?Umbali gani kutokea barabara ya morogoro?