kati ya eneo nisilolipenda kuishi au kungenga hapa tz, ni kigamboni, pili zenji. hata mtu akiniuzia kiwanja huko huwa naweka tu thamani iongezeke nije kuuza badae. sikupendi balaa.
Hujalazimishwa. Tuwe wastaarabu katika mitandao ya kijamii. Wewe kama huhitaji usijibu bandiko. Mahala pa kuishi ni chaguo la mtu. Inategemea pia unashughuli gani na wapi. Kwa anaefanya shughuli city centre Kigamboni ni dakika chache tu anafika hata akitokkea Toangoma ni 20 minutes mpaka ferry. Hakuna stress za foleni. Sembuse unaeka Tegeta stress za foleni balaa.
Pambana na hali yako usiingilie uamuzi wa mtu mwingine. Kwanza hukutoa hata sababu zaidi ya kuwa na chuki zisizo na mashiko.