chichiboy1
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 1,412
- 1,909
Toangoma, na mtaa mwingine ni Nursery school.Karibu na seondary ipi, Stanley?
Tuma pichaKipo Toangoma mtaa wa Masaki ,sio mbali na stand kuu ya Toangoma na ni karibu na shule ya sekondari, ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba (7,000,000/=)..Nicheki pm kwa mawasiliano zaidi.
N.B. Tunaweza kufanya exchange na Toyota ambayo ni Hatchback..
Picha nimeweka lakini nafikiri hauwezi kuona vizuri kupitia hizo, bora uone "physically" kama unakihitaji seriouslyTuma picha
Kumbe ndio acre moja hiyo?! Basi sawa ndio hivyo karibu tuongee business manake hiyo hela naihitaji harakaVery reasonable price
One acre for 7m.
Mpaka wapi kwa mfanoPunguza bei tununue
Tumia vipimo vya mita kwa eneo kubwa kiasi hicho. Mita 18 X 21ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba (7,000,000/=)
M4 iko poa sanaMpaka wapi kwa mfano
Thanks for the illustration man..tukifika mwisho 6 itapendeza zaidi na hapo ndio mwisho1 feet = 0.3 meters
Kiwanja hiko ni 21m × 18m = 378 square meters.
Ina maana square meter moja inauzwa 18,700/= Tshs.
Very expensive for that slope man....
5m itapendeza zaidi...
M6 haina maelezo mengiM4 iko poa sana
Sawa mkuu kila la kheriM6 haina maelezo mengi
kati ya eneo nisilolipenda kuishi au kungenga hapa tz, ni kigamboni, pili zenji. hata mtu akiniuzia kiwanja huko huwa naweka tu thamani iongezeke nije kuuza badae. sikupendi balaa.Kipo Toangoma mtaa wa Masaki ,sio mbali na stand kuu ya Toangoma na ni karibu na shule ya sekondari, ukubwa wa eneo ni futi 60 kwa 70. Hakina hati na bei yake ni tshs million Saba (7,000,000/=)..Nicheki pm kwa mawasiliano zaidi.
N.B. Tunaweza kufanya exchange na Toyota ambayo ni Hatchback..
Mwanzoni ulisema ni karibu na secondary. AsanteToangoma, na mtaa mwingine ni Nursery school.
Kwanini unasema hivyo Hute.kati ya eneo nisilolipenda kuishi au kungenga hapa tz, ni kigamboni, pili zenji. hata mtu akiniuzia kiwanja huko huwa naweka tu thamani iongezeke nije kuuza badae. sikupendi balaa.