Ni umbali wa 45km kutoka ferry
umeme upo tayari
ni 800 mita kutoka bahari ilipo.
kiwanja kina ukubwa wa 1100sqm
bei yangu ni 9 million cash
Call 0627911500
Hiyo hati yako itakuwa sawa na cheti feki... Ngoja ukaguzi wa hati upite, utakuja kulia lia hapa. Usitupe ile leseni ya makazi kisa umepata hiyo hati feki!