Uko viwanja vinauzwaje?
Huku Dar ndanindani uko manispaa ikitangaza kupima eneo kuuza inaanza na 25,000 Tsh kwa sqm kwa kiwanja cha shamba. Kiwanja cha makazi 30,000 Ths na cha biashara kama shule na maduka 40,000 Tsh.
Manispaa ya jiji gani inauza sqm kwa 6,000. Au achana na hiyo bei, leta hata tangazo la 10,000 Tsh per sqm.