Tunzo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2013 Posts 4,125 Reaction score 2,449 Mar 27, 2013 #1 Kiwanja kizuri tambarare hakina mabonde wala milima kinafikika kwa urahisi ukubwa 30 kwa 27 Kipo Mbezi ya Kimara, Maramba mawili msikitini bei ni 6,000,000/= maongezi
Kiwanja kizuri tambarare hakina mabonde wala milima kinafikika kwa urahisi ukubwa 30 kwa 27 Kipo Mbezi ya Kimara, Maramba mawili msikitini bei ni 6,000,000/= maongezi
L Logik Member Joined Jan 17, 2012 Posts 32 Reaction score 4 Apr 4, 2013 #2 Kimepimwa, na ni kilometa ngapi kutoka Morogoro road?
Tabem Member Joined Mar 28, 2013 Posts 26 Reaction score 11 Apr 4, 2013 #3 MAENEO YA VIJIBWENI Nauza Kiwanja karibu na daraja jipya la Kigamboni heka tano Mawasiliano 0767536359 na 0713536359 kimepimwa
MAENEO YA VIJIBWENI Nauza Kiwanja karibu na daraja jipya la Kigamboni heka tano Mawasiliano 0767536359 na 0713536359 kimepimwa