baraka wanna
Member
- Sep 8, 2014
- 25
- 1
Kiwanja kipo Vikindu barabarani kabisa,umeme upo na miundombinu mingine IPO, kina ukubwa wa futi 60 kwa 50.
Kinafaa kwa Ujenzi wa nyumba au biashara, bei ni mil.3 na nusu kwa anayehitaji wahi mapema hakina Dalali.
Nipigie kwa 0713-377167/ 0756-377167
Mkuu mbona hujibu meseji?
mbona Sijaona meseji yoyote mkuu?
Siku nyingine uangalie jinsi ya kuandika. Sasa hapo si unafukuza Wateja? Nani anapenda nyumba yake baadae aambiwe iko barabarani ibomolewe? Hasa hapo kwenye red.Kiwanja kipo Vikindu barabarani kabisa,umeme upo na miundombinu mingine IPO, kina ukubwa wa futi 60 kwa 50.
Kinafaa kwa Ujenzi wa nyumba au biashara, bei ni mil.3 na nusu kwa anayehitaji wahi mapema hakina Dalali.
Nipigie kwa 0713-377167/ 0756-377167
Siku nyingine uangalie jinsi ya kuandika. Sasa hapo si unafukuza Wateja? Nani anapenda nyumba yake baadae aambiwe iko barabarani ibomolewe? Hasa hapo kwenye red.
Ooh sorry nimeiona SMS yako, Kiwanja kipo karibu sana na barabara kwa kupima kilometre hata kilometer moja haifiki. Kiwanja kipo mahali pazuri sana pia unaweza kujakukiona .
Achakupotosha watu wewe be reasonable, ndio Maana kunamawasiliano hapo kabla hujaandika lolote unge patauthibitisho kwanza.ila kwa kuwa wewe siomulewa wacha nikuelimishe Kiwanja hakikondani ya hifadhi ya barabara..kwa muhitaji nipigie 0713 377167/0756 377167

be reasonable kama siomuhitaji basi pita tuu...Mimi sio muelewa lakini nilichoandika kina mantiki kuliko unavyodhani. Kifupi hujui lugha. Hivi hizo shule huwa mnaenda kusomea ujinga?
Cc: #FaizaFoxy