Nauza kiwanja, kipo Mapinga Bagamoyo

Kutoka mawasiliano ni magari mangapi hadi kufika huko? Nauli sh. ngapi?
 
Mbona bei rahisi hivyo mkuu mimi nasubiri upandishe bei hadi Milioni 70 ndio nitachukua mkuu
 
Tatizo viwanja mapinga utapeli mwingi.

Usawa huu kupoteza milion 6 unaweza sio mchezo.
Siyo kila mtu ni tapeli,jaribu kuheshimu biashara za watu siyo kila kitu ni utani.
 
mkuu kiwanja kipo umbali gani toka bagamoyo road?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…