huku mpaka 300m, huyo kawa mwoga tu, ukipate kwa dalali utaonaMillioni 65? Soma alama za nyakati sio huu usawa wa brother Magu
kwa 20,000,00/ itafaaHabarini Wanajamvi. Nauza Kiwanja Changu Na Hizi ndio Taarifa za Kiwanja
Eneo: Kigamboni Kibada kwa Mwarabu, Jijini Dar Es Salaam
Ukubwa: Sqmeter 1084
Hati: Kina hati Ndio
Eneo ni tambalale, Huduma Zote Zipo.
Bei ni Milioni 65. Eneo hili halina udalali wala sihitaji Dalali.
Kwa Mawasiliano 0712 390 200
Go and buy chanika......naishi kigamboni tuachieni kigamboni yetu65 milions you can buy a good plot at CHANIKA for only 5 milions and build a better house for only 45 mil. And the rest you can buy a simple car.
Acha ndoto za utajiri kirahisi hivyo.
Hayo ni Mawazo Yako Mkuu unapoona Huwezi kitu Unaachana nayo tu. Nenda kaulizie ndo utajua thamani ya Kitu. Ni maamuzi tu unachagua Unaenda Chanika, Masaki, Osterbay nk. Na Kila sehemu ina Value yake. Kwahiyo uchaguzi ni wako na uwezo wako sio swala la Utajiri65 milions you can buy a good plot at CHANIKA for only 5 milions and build a better house for only 45 mil. And the rest you can buy a simple car.
Acha ndoto za utajiri kirahisi hivyo.
Wewe unaota ndoto za mchana Kibada haina kiwanja chenye thamani hiyo kwa usawa huu wa magu utasubiri sanaHabarini Wanajamvi. Nauza Kiwanja Changu Na Hizi ndio Taarifa za Kiwanja
Eneo: Kigamboni Kibada kwa Mwarabu, Jijini Dar Es Salaam
Ukubwa: Sqmeter 1084
Hati: Kina hati Ndio
Eneo ni tambalale, Huduma Zote Zipo.
Bei ni Milioni 65. Eneo hili halina udalali wala sihitaji Dalali.
Kwa Mawasiliano 0712 390 200
Nipo Tayari kusubiri Hata usawa Uwe wa Nani..Wewe ndo unasema labda kwasababu huelewi au hujui thamani ya kiwanja chenye hati Kibada Kigamboni. Ndio maana nipo tayari kusubiri hata labda sijui awamu tisa mbele mkuuWewe unaota ndoto za mchana Kibada haina kiwanja chenye thamani hiyo kwa usawa huu wa magu utasubiri sana