Nauza kiwanja Kigamboni Kibada meta1428

kumbisale

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
9
Reaction score
9
Nauza kiwanja changu kimepemwa na kinahati kipo kigamboni kibada km 2toka barabara kuu ya Feri kwenda kongowe na kwa daladala shukia kituo cha chekechea utaona bango LA nyumba za nssf upande huohuo kipo krb zaidi na nyumba za nhc kimepimwa na kwa nahati na hakidaiwi kodi nikiwanja cha makazi bei ml 35 kwa mawasiliano 0789479973
 
Hii inamaanisha ni Tshs 24,509.80 kwa square meter moja...

Kumbe Magu hajabana sana, tunampakazia tu...
 
Bei kubwa acha tamaa Manispaa ya kigamboni imepima viwanja bei poa
Kigamboni ni kubwa lkn hichi kipo karibu na ferry napia kwa bei elekezi ya serikali kule kwangu meta moja ni elfu 50 sasa piga hesabu hapo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…