Kiwanja Kipo Goba, Mtaa wa Muungano.
Karibu na Mivumoni.
Ukubwa wa kiwanja: SQM 500, Bei Milioni 8.5.
Direction: Ukitokea Tegeta Wazo alafu Mivumoni center then Kiwanjani.
Naomba kueleweshwa hiyo goba ya wasambaa ilipo kwa ufasaha zaidi, mivumoni siijui pia. Napafahamu goba njia nne, njia panda ya Atlas(madale) na goba chuo cha walimu, unaweza anzia popote kuelekeza. Au kwa urahisi zaidi dondosha coordinates za googlemap lilipo eneo lako njia nitatafuta mwenyewe
Dogo vipi umelaliwa nini hebu angalia orijino post ya mtoa mada nliyo ikoti huko juu yeye ndo aliandika viwango hivyo nami nikawa najaribu kupiga mahesabu tu kwa kutumia viwango vyake, sasa utasemaje nimeandika mimi