Mkanganyiko
Member
- Feb 3, 2014
- 34
- 11
Kama kawaida yenu, kutaja bei hadi watu wabembeleze
Kaka nicheki hewani kwa namba yangu 0754728189 nikupe bei na hakuna dalali mimi ndio muhusika mwenyewe, karibu sana
Hivi kwani bei ni siri?
Kaka nicheki hewani kwa namba yangu 0754728189 nikupe bei na hakuna dalali mimi ndio muhusika mwenyewe, karibu sana
Ukiona hivyo ujue anataka kumkamata mjingamjinga ampige. Eti details zote kaweka hadi namba za simu ila bei hataki kuweka.
Ukiona hivyo ujue anataka kumkamata mjingamjinga ampige. Eti details zote kaweka hadi namba za simu ila bei hataki kuweka.
kwa mujibu wa namba aliyoweka muuzaji anaitwa:-
NGIKUNGA KIDOBA (weka bei please)
Endelea kufanya siri hivyohivyo.
Ni kweli kaka ndio mimi mwenye jina hilo bei yangu nauza 18m
Nauza 18m kaka karibu sana
Kwa hicho kiwanja na hiyo bei mkuu punguza kidogo
Wana jamii wenzangu ninauza kiwanja changu kilichopo Mbezi Golani km 2 from morogoro road, Kina msingi wa vyumba vitatu kimojawapo ni master bedroom, vilevile una home office, dining, store, sitting room, na jiko. DETAILS:- MASHARIKI UREFU NI 24m, MAGHARIBI UPANA 20m, KUSINI UPANA 30.5m, KASKAZINI UREFU 32m. - ENEO HILI LINA HATI YA UTHIBITISHO WA KIWANJA ILIYOTOLEWA NA SERIKALI ZA MITAA WILAYA YA KININDONI. Pamoja na msingi uliopo bado kuna eneo kubwa la keweza kujenga nyumba nyingine ya pili na fremu hata 7 upande wa mbele ambapo ni barabarani kabisa. 0754728189 Karibuni tufanye biashara
kuna mjinga mjinga anataka kupigwa tukio hapa
Mkuu hakuna magumashi hapa we kama umefika bei njoo tuonane na uone sehemu yenyewe. Sio kila mtu hapa JF ni msanii wa kupiga matukio unayoyazungumzia.