mtanzania asiye jielewa
Senior Member
- Nov 13, 2016
- 179
- 99
Weka beiNi kiwanja changu mwenyewe nakiuza nilikinunua mwaka 2010
Nikakata upande nimejenga uliobaki nauuza upana ni hatua za kutembea 25 na urefu pia ni hatua 30. Ni uwanja wa pili kutoka barabarani. Upepo wa kijimwaga. Nipo kivule kwa john fedha
Kivule ni maeneo ya wapi mkuuNi kiwanja changu mwenyewe nakiuza nilikinunua mwaka 2010
Nikakata upande nimejenga uliobaki nauuza upana ni hatua za kutembea 25 na urefu pia ni hatua 30. Ni uwanja wa pili kutoka barabarani. Upepo wa kijimwaga. Nipo kivule kwa john fedha
John fedha ndio nani huyo! Unatumia aka za mtaa unafikiri watu wanajua hiyo mitaa. Anza na angalau wilaya ndio uendelee na hiyo mitaaKama ulishawahi kufika kwa john fedha
Ni jina maarufu sana pande hiziJohn fedha ndio nani huyo! Unatumia aka za mtaa unafikiri watu wanajua hiyo mitaa. Anza na angalau wilaya ndio uendelee na hiyo mitaa