SOORI MBISE
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 152
- 106
Mkuu naomba niulizie kama anatoa risiti za EFD.HIYO BEI
Siyo kwa vyuma hivi uipate hiyo 12mNauza kiwanja chenye ukubwa wa urefu mita 40 upana mita 25. Kipo Mbezi mpiji magohe kituo cha kwa Stephen. Bei yake ni 12m hakuna dalali mimi ndiye mmiliki halali. Ukija nitakupa ushahidi wote wa serikali za mitaa, majiarani na mimi mwenyewe ni mtumishi wa serikali. Nitakupeleka hadi kazini kwangu upajue ili kujihakikishia kuwa hakuna utapeli. Kiwanja kipo jirani na barabara hakina mlima kabisa kipo tambarare. Kuna umeme na maji. majirani wamejenga vizuri. ukihitaji mawasiliano nitafute PM. Dalali hatakiwi maana sina posho ya kumlipa.
Vyuma vipo kwako tu wengine ni vilaini ajabu.Siyo kwa vyuma hivi uipate hiyo 12m
Bei imefanyaje? unajua bei za viwnja au unafikiri hizi nyanya ndugu?HIYO BEI
Fanyeni kazi. yahani mtu toka hasubuhi hadi jioni ukimcheki yupo online tu. EFD ukihitaji unapata.Mkuu naomba niulizie kama anatoa risiti za EFD.
Punguza jazba mkuu wengine tumeajiri watu wa kutufanyia kazi aftr all tusingekuwa online tusingeona hilo tangazo lako.Fanyeni kazi. yahani mtu toka hasubuhi hadi jioni ukimcheki yupo online tu. EFD ukihitaji unapata.
Kila mtu anachagua anapopenda kuishi. Hapa mjini kuna viwanja hadi vya bilioni na ushee na vipo pia hadi vya laki nane. siyo kila mtu anapenda chanika. kila mmoja anachagua kuishi anapopapenda.ml12 naenda chanika nanunua kiwanja na foundation naweka na hela ya mafuta inabaki kweeeeendraa
sina jaziba mkuu. Kuna figure hapa JF zinacoment kila thread kuanzia hasubuhi hadi jioni. Kama kiwanja hakikufai si ukae kimiya.Punguza jazba mkuu wengine tumeajiri watu wa kutufanyia kazi aftr all tusingekuwa online tusingeona hilo tangazo lako.
ml12 naenda chanika nanunua kiwanja na foundation naweka na hela ya mafuta inabaki kweeeeendraa
Mkuu hakijapimwa. Kina hati ya mauziano ya serikali ya mtaa. Kutoka barabara kuu ya mpigi mgohe hamna hata km 1. Sina uhakika ni mita ngapi kutoka barabarani lakini kwa makisio ni kama mita mia nne hivi.Mkuu Soori!
Hicho kiwanja kina hati?
kimepimwa?
kipo Km ngapi kutoka barabara kuu?
Yaani ku-"comment" JF asubuhi hadi jioni? Kweli kazi ipo!sina jaziba mkuu. Kuna figure hapa JF zinacoment kila thread kuanzia hasubuhi hadi jioni. Kama kiwanja hakikufai si ukae kimiya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Punguza jazba mkuu wengine tumeajiri watu wa kutufanyia kazi aftr all tusingekuwa online tusingeona hilo tangazo lako.