Nauza kiwanja changu Buswelo "mwanza"

Loveeness78

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Posts
280
Reaction score
294
Wakuu poleni na kazi.

Nauza kiwanja changu kiko buswelo mwanza maeneo ya nyamadoke.
Kipo karibu ya barabara jipya litokalo Igoma.Kina ukubwa wa 25 kwa 30 m. Kimepimwa nakiuza kwa tsh. Mil 6.5. Ila kama ukishakiona na kukipenda tutaelewana zaidi.

No. Watsup +258 846081710
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…