Nauza kiwanja Babati Manyara

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
Nauza kiwanja kipo babati,inaukubwa wa nusu eka,kipo mtaa wa sawee.
Bei milion 5 tu.
 
nakuuliza, na nataka utoe maelezo ya kutosha
 
nakuuliza, na nataka utoe maelezo ya kutosha

unataka maelezo gani zaidi ya hayo?
Kama uko serious tuwasiliane kwa namba hii hapa uje uone kiwanja 0782 162061
 
unataka maelezo gani zaidi ya hayo?
Kama uko serious tuwasiliane kwa namba hii hapa uje uone kiwanja 0782 162061
Babati???

Nadhani kuna madini ya tanzanite hapo nadhani au babati imekua sana. 5M nusu heka??
 
mtaa wa sawee uko wapi, nyunguu, mjini, njia ya singida, mamire au wapi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…