Nauza kitasa nimeshusha bei

Jamaa njoo huku ujibu. Unavo vingapi?
 
nishajibu mkuu kimebaki kimoja vingine nishaviuza*slim5
 
nimenunua vitasa 40 na tra walinikata sasa nikiuza tena nakatwa tena kwa bei ya hasara nakatwa tena
 
nimenunua vitasa 40 na tra walinikata sasa nikiuza tena nakatwa tena kwa bei ya hasara nakatwa tena
kwanini uuze kwa bei ya hasara?
huoni ni kwenda kinyume na utaratibu wa mkuu wa kaya, maana unakua huna budget!
 
sasa kimoja kimebaki nikigawe bure alafu bidhaa yangu unataka kunipagia bei acha hizo mambo mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…