Nauza Kitanda na Godoro

hidekel

Senior Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
142
Reaction score
35
Wakuu na-relocate to Mwanza kikazi
Nauza Kitanda na Godoro (5X6). Vipo Dar . Bei TZS 180,000 vyote kwa pamoja. risiti ya godoro na warranty yake vipo

Nimevitumia kwa miezi miwili
Risiti ya kitanda nimei- misplace katika mchakato wa kufungasha mizigo mingine
 

Chukua laki1
 
Kwa watu tunaopenda ready made hata kama una mke unaweza kusema mahari uliyotoa ujumlishe kabisa uache vyote
 

vipo maeneo gani ili nije nivione,,wasiliana na mm 0714137838
 
Swali la Nyongeza,
Umevigegedea juu yake mara ngapi?
 

Uko wapi, if Dar (locality) let us communicate. Kitanda aina gani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…