kitanda .
Ukubwa 5*6
Kipya hakijapakwa polish/rangi na chaga zake bado hazijaunganishwa .
godoro
Comfy inch 6 limetumika kidogo <mwezi mmoja
Bei ya vyote 150k (laki na nusu)
napatikana dar -chang'ombe tmk.
karibuni sana View attachment 475401View attachment 475402View attachment 475403View attachment 475405
Kwa serious buyer njoo DM tubadilishane mawasiliano.
Hahahaa straight from porini bado hakijatiwa bleachKitanda albino hch
Hakitumiki kipo stooMkuu una mpango wa kulala chini?
Mi nataka kitanda pekee mkuu utanifanyia bei ganNi PM bei yako ya mwisho
OkyNi PM bei yako ya mwisho
Kinauzwa na godoro lake mkuuMi nataka kitanda pekee mkuu utanifanyia bei gan
kitanda .
Ukubwa 5*6
Kipya hakijapakwa polish/rangi na chaga zake bado hazijaunganishwa .
godoro
Comfy inch 6 limetumika kidogo <mwezi mmoja
Bei ya vyote 150k (laki na nusu)
napatikana dar -chang'ombe tmk.
karibuni sana View attachment 475401View attachment 475402View attachment 475403View attachment 475405
Kwa serious buyer njoo DM tubadilishane mawasiliano.
Ukibaki mjini mpaka mwezi wa sita we kidume ( mkulu tone) [emoji3] [emoji3] [emoji3] hahami mtu mjiniMkuu naona safari yako ya kurudi Kijijini kulima imeshawadia! Nisalimie wote huko.
Nimeainisha aina ya godoroGodoro aina gan,icje tukaumwa mgongo baada ya ck mbili
ha ha si ungemjibu tuu kwa neno moja comfyNimeainisha aina ya godoro
Nahitaji hicho. Leta contacts nikuonekitanda .
Ukubwa 5*6
Kipya hakijapakwa polish/rangi na chaga zake bado hazijaunganishwa .
godoro
Comfy inch 6 limetumika kidogo <mwezi mmoja
Bei ya vyote 150k (laki na nusu)
napatikana dar -chang'ombe tmk.
karibuni sana View attachment 475401View attachment 475402View attachment 475403View attachment 475405
Kwa serious buyer njoo DM tubadilishane mawasiliano.
Wakuu first come first served Ahsanteni