Nauza King'amuzi cha Startimes 50,000/=

jackito

Member
Joined
Nov 28, 2014
Posts
33
Reaction score
24
Habari zenu,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, muhitaji niPM kwa mawasiliano, nipo Dar.
 
...we unaza 50000, wakati wenzako startimes wenyewe wanauza king'amuzi kipya sh 4000 (shilingi elfu nne msije mkafikiri ni typing error) mi nimekinunua pale ilala majuzi tu, kama hamuamini nikifika home naweka kipeperushi na receipt yake hapa.
 
Acha utani mkuu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…