Nauza Kamera Nikon.

BabaDesi

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2007
Posts
6,214
Reaction score
4,167
Shalom Wakuu na habari za Kupambana huko.
Husika na kichwa cha Habari.
Ninauza kamera yangu ya Kisasa aina ya Nikon D90.
Sababu ya kuiuza ni kwamba nilimnunulia kijana wangu October mwaka jana alipomaliza Certificate hapo DSJ na ana ndoto ya kuwa Photo Journalist.
May hii ameletewa mtambo mkubwa zaidi unaostahili ndoto zake na anataka kuiuza hii ili nimuongeze hela anunue ile anayoona inastahili ndoto zake na ambayo bei yake ni masafa marefu.
Kamera tunayoiuza bado ni kama mpya maana imetumika kwa miezi sita tu tena kwa sababu maalumu.
Specs za kamera ni:
Nikon D90
Megapixel 12.5
Lens 18-105
ISO range 200-3200

Kwa mengineyo, njoo inbox.
 
Kamera nilinunua October kwa Shs Milioni 1.2
Sasa naiuza kwa Ofa ya Shs Laki 9.5
 
Weka na picha tuone hiyo kamera,maana hiyo bei yako mmh!
...ngoja nitafute maufundi ya kuiweka picha hapa.
Bei isikushangaze sana mkuu.
Hapo tulipokwenda na junior kuinunua mwaka jana hiyo milioni 1.2 ndio zilizokuwa kwenye bei ya chini kabisa.
Hapo hata ukitaka kamera ya tshs milioni 2, 3. 5 hadi 7 unapata Mkuu, ni wewe mwenyewe tu kujua unaitaka kamera kwa ajili ya nini!!
 
 

Attachments

  • IMG_20190528_105036.jpg
    194 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…