Financial Analyst JF-Expert Member Joined Nov 27, 2017 Posts 2,392 Reaction score 5,636 Dec 19, 2018 #1 -Lipo katika hali nzuri -Halijatumika -Bei ---tsh 320,000/= Karibu!!!!
D Metakelfin JF-Expert Member Joined Mar 23, 2017 Posts 3,728 Reaction score 4,181 Dec 19, 2018 #2 Liko vizuri ila hiyo bei kubwa ila nje ya mada mkuu hata kama uko busy jitahidi japo usafi ndani hayo machupa yaliyotumika na mabox si vyema kukaa nayo ndani
Liko vizuri ila hiyo bei kubwa ila nje ya mada mkuu hata kama uko busy jitahidi japo usafi ndani hayo machupa yaliyotumika na mabox si vyema kukaa nayo ndani
Abu Ubaidah Commando JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 7,590 Reaction score 6,957 Dec 19, 2018 #3 Duh!! Bei kubwa hivyo
B Bulesi Platinum Member Joined May 14, 2008 Posts 14,739 Reaction score 14,941 Dec 19, 2018 #4 Unauza mtaji?
Jongwe JF-Expert Member Joined Apr 25, 2008 Posts 1,040 Reaction score 666 Dec 21, 2018 #5 Nusu bei ni PM