usimamizi mbovu. Niko busy sijajiajili bado. Pia fahamu kwamba isiuzu journey na dcm ndio imara na reliable. Zinaitwa gari za kimaskini. As I am writing gari iko barabarani. Haina tatizo.
mkuu hao sumatra ni mbwembwe tuu!hivi kuna dcm la 2006?mbona zimejaa ma barabarani?kaulizie gari ya 2006 bei yake,halafu uipige mkorogo wa daladala kama hela yako itarud!ngoma za mwaka 1990 ndio zipo zinadunda na hesabu kama kawaida.