Nauza IPhone 8 {256 GB}.

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,245
Reaction score
2,128
Habari wadau.Nauza simu aina ya IPhone 8 with storage 256 GB.Tangu nimenunuwa haina hata mwezi.
Kama unaitaka njoo inbobo
 
Mkuu funguka unauza Tshs ngapi? Na kwanini unauza ina matatizo gani pia n a picha itapandeza
 
Reactions: bbc
huko inbobo kuna nini haswa!!!!???

au mnanyonya watu damu??simu umeweka hapa wazi,picha na bei utafutwe!!!na wewe ndiye mwenye kutaka pesa.
 
Reactions: bbc
Weka details zote za simu pamoja na bei na namna ya kuipata kama upo serious unauza hiyo simu ili kila mtu aweze kuona, inbobo kufanya nini? kuna nini unaficha kuhusu hiyo simu mkuu.
 
Reactions: bbc
Ni muda wa mwezi tangu nimenunuwa simu haina tatizo lolote lile.Simu bado mbichi kabisa ila sababu ya matatizo niliyoyapa hivi karibuni nalazimika kuiuza hii iphone.Bei ni Tsh 1.8 mil
 
Ni muda wa mwezi tangu nimenunuwa simu haina tatizo lolote lile.Simu bado mbichi kabisa ila sababu ya matatizo niliyoyapa hivi karibuni nalazimika kuiuza hii iphone.Bei ni Tsh 1.8 mil
Kwahiyo hizi ndio picha ambazo wadau tunazisubiri?
 
Tukisema unavizia kumpiga mtu utalalama kua umevunjiwa heshima,unauza simu kwa 1.8M utadhani unauza karanga za 100 vile duh.
 
Am sorry kwa usumbufu ila picha naziweka sasa hivi.Kuhusu bei hii ndio bei yake lakini inapunguwa.Iphone8>256gb ni gharama kubwa sana sokoni yaani hapo nimepunguza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…