Nina iphone 6 nliagiza from dubai imekua locked na network ya verizon kwakua nliagiza simu mbili natumi nyingine hii naiuza utaenda kurekebsha mwnyewe maana ni common problem ndio maana naiuza hyo bei haina ttzo wala scratch yyte yoyote nmetumia wifi nmeinstall na kutest kila kitu kwa mwenye nia +255754516975 niko Dsm
Sent using
Jamii Forums mobile app