[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Fanya faster kabla hawajaja wengi
Mbona umecheka mkuu[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Daaah aise Mi Nipo tabora Chifu Duuh[emoji23][emoji23][emoji23] karibu mkuu niko Dar
Njoo inbox tupange rendezvous lakini uje na risiti original uliyonunulia picha yako ya passport size na kitambulsho chako halali kati ya k/utaifa, lesseni au passport yako ya kusafiria na copy ya kitambulisho utakachokichagua. Mimi hapa nimeishadraft sale agreement na ink pad yangu hipo tiyari kwa ajiri ya saini yako ya Dole gumba .Ninaiondoa mikononi mwangu simu yangu kwa bei ya Tzs 150,000 tu (Non negotiable) nikiwa nimeitumia kwa kipindi kisichozidi miezi minne tu
Brand: iPhone [emoji336]
Model: 5s
Storage: 16Gb
iOS: 12.2
Color: Gold
Tuwasiliane kwa wahitaji serious kwenye 0737707960View attachment 1142786View attachment 1142787View attachment 1142788View attachment 1142789