Simu ina muda wa miezi miwili tu toka inunuliwe. Ina hali nzuri sana MashaAllah
1. Ram 3GB
2. Internal Memory 32GB
3. Battery capacity 4000Amh inakaa hadi siku 3 km haupo busy sana na matumizi ya internet
4. Line inatumia 2
5. OS ni Android 8.1
6. Network 4G/LTE
7. Rangi Nyeusi
8. Inapatikana Kigamboni, Dar es Salaam
9. Bei 330,000Tzs ( Mazungumzo yapo)
10. Mawasiliano 0755411455 (call|sms|whatsapp)
View attachment 1174635View attachment 1174636