Gari ndo unaiuza kwa details hizo!? weka mwaka ilotengenezwa, odometer inasoma ngapi, umeitumia kiasi gani ikiwezekana namba zake ni A,B au C!? taja na bei, ukiendelea na ubishi wako huo ukipata mteja hapa JF ujishangae.
Nimeshaandika hapo kwa maelezo zaidi piga simu sasa unataka nipinge pia card ya gari hahaha hivi unajua biashara wewe Baba V..pia biashara inamatango yake@baba v