Kwa utafiti gani uliofanya? Unaponunua gari lazima uhakikishe vitu vya msingi kukuhakikishia ubora kupitia maelezo yao.Kama maelezo yao ni ya uongo that is another case.
dah! delusions: kweli bwa hawa "Be Forward" hata mie siwaamini kabisa zile bei zao za magari mmmh, lazima upate kigugumizi aise ......hope watakua wanauza vimeo sana ....