Nauza Gari Rav4 Milano 3

Ninaa

Member
Joined
Sep 3, 2012
Posts
34
Reaction score
5
Nauza gari Rav4 Ina hali nzuri,tairi mpya.Bei milioni 8 na nusu.Mawasiliano 0787 500 547
 

Attachments

  • image.jpg
    109.8 KB · Views: 138
  • image.jpg
    69.8 KB · Views: 146
  • image.jpg
    184.8 KB · Views: 118
Ulaji kea mwendo wa mbali Barbara kuu inaenda kumi.10km per liter
 
Ya mwaka gani? Ni vizuri kutaja mwaka ukiwa unauza. Iendane na bei na pia kutaja km zilizomo pia.
 
Ni ya 1998,Ina km 100'000.Haikua ikitumika sana,mmiliki wa kwanza ni UN na haikua ikitumika sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…