Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nauza gari aina ya Isuzu double cabin, capacity 2800, model 1999, Diesel engine, mileage 50,000 kms. Mwenye nia anipm, karibu tuongee.
Gari ni imara sana hata ukiiangalia kwa macho na ipo katika hali nzuri. Nimeambatanisha baadhi ya picha.
Mkuu namba ya simu sipendi kuweka hapa hadharani, maana kila atakayesoma hii thread ataijua, yaani hata gf wangu atajua nauza gari halafu ajiandae kunipiga mzinga, lol!
Mkuu namba ya simu sipendi kuweka hapa hadharani, maana kila atakayesoma hii thread ataijua, yaani hata gf wangu atajua nauza gari halafu ajiandae kunipiga mzinga, lol!