Nauza Gari aina ya Harrier old Model

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,405
Reaction score
3,061
Wadau habarini za mchana,ninaunza gari yangu aina ya Harrier Old Model,bei ni Tshs 15,000,000/ sababu zakuiuza ni kwamba kwamba nauza niweze kuongeza pesa ninunue gari jingine!
 
Ungeweka na spécification za ukubwa wa engen yake.....na namba yako ya simu na location ya gari wapi inapatikana

Ova
 
Sorry sana kabla sijamaliza kuandika nikabonyeza inter mzigo uka jipost

Location ni Dar Es Salaam Kunduchi Mtongani..

Engine capacity ni CC 2362!!

Mawasiliano 0745 735 825
 
Mkuu 7.5m utauza la sivyo itakuhangaisha mnoo, wanunuzi wenyewe dar wananunua plate number na ukishaweka sokoni mtu anajua una tabu.. Plus bei halisi ya kuuza ilitakiwa isizidi 10m
 
Sorry sana kabla sijamaliza kuandika nikabonyeza inter mzigo uka jipost

Location ni Dar Es Salaam Kunduchi Mtongani..

Engine capacity ni CC 2362!!

Mawasiliano 0745 735 825
Bado unayo tuongee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…