October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,631
- 5,023
Hapana mkuu hiendi hiyo bei.Chukua 200,000/=
Lakini unanipa na documents zake
Ongeza kidogo mkuu.Chukua laki mbili na sabini nipe namba nikupigie fasta
We kweli kama hiyo ni nzima na uko na haja ya kuuza nipe namba tuongee fresh,nahitaji wala siyo utaniOngeza kidogo mkuu.
Nauza TV flat aina ya LG, Inch 32, imetumika miezi 4 tu.
Bei 330,000/=
Sababu ya kuuza kuhitaji hicho kiasi cha pesa kwa sasa.
DSM | mbagala.View attachment 1248648
[/QUOTE
Kama hujauza bado nicheki kwenye namba 0712518770
Niko seroius kununua niko Gomz. Tunawasilianaje au ushauza?Nauza TV flat aina ya LG, Inch 32, imetumika miezi 4 tu.
Bei 330,000/=
Sababu ya kuuza kuhitaji hicho kiasi cha pesa kwa sasa.
DSM | mbagala.View attachment 1248648