Picha tafadhaliNauza jack za umeme.hizi n nzur sababu Kwanza zinapunguza matumizi ya nguvu n kuruhusu umeme wa gari ufanye kaz.pia znafungua tyre pamoja na kujaza upepo kwa mawasiliano
Call/WhatsApp 0673-364751
hiyo ni jeki ya kawaida ya kunyanyua gari likipata pancha au changamoto nyingine; inatumia umeme wa gari (kutokea kile kisehemu cha kuwasha sigara)Kwa umeme huu w mgao?
Inaonekana una uelewa mzuri sana wa hicho kifaa Mkuu. Kwa uzoefu wako ni roughly how much kwa za size ya magari madogo? Maana jamaa hataki kuweka bei hadi apigiwe!hiyo ni jeki ya kawaida ya kunyanyua gari likipata pancha au changamoto nyingine; inatumia umeme wa gari (kutokea kile kisehemu cha kuwasha sigara)
Faida zake: Ina nyanyua gari, Inajaza upepo wa tairi na inakifaa cha kufungulia nuts za tairi.... vyote hivyo bila kutumia nguvu yako
Nafikiri ndio hiyo mtoa mada anaongelea japo naona hajatoa bei wala picha....
Sawa; Ila ungesema nimeshaweka ingekuwa uungwana zaidi maana mwanzoni hukuwa umeweka. Ume-edit baadaye.Mbona nimeweka mkuu