Nauza desktop full

kimbunga jnr

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
260
Reaction score
59
Nauza desktofull kioo nchi 18. Ram 4gb hdd 500 ipo katika hali nzuri nilinunua kwaaajili kufanyia biashara ya stationery lakin eneo si rafiki.kwa biashara hii sasa na kubadilisha biashara niuze maji vinywaji barid kama kuna mtu ana kifreezer kidogo akinipa na 50000 namuachia nipo dar yenyewe nauza 350000 mwenye kuhitaji anitafute no hii 0717111140
 
 
Ingekuwa system unit pekee ningeinunua
 
Ki briefcase hicho

Wanaitaga CPU kwa lugha ya mtaani
 
Mkuu CPU ni lugha ya mtaani?!!


Watu wengi wanaitaga hii kitu ni C P.U ili mtu akuelewe inabidi umwambie CPU ndio anaelewa ndio hii .

Lakini kiuhalisia CPU ni processor iliyopo ndani na hiyo hapo ni system unit

Mfano hapo juu nimesema system unit jamaa hakunielewa ila ningesema CPU 100% angejua na kuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…